Kwa unyenyekevu mkubwa, jumuiya na kamati ya shule ya sekondari Mwamanongu inaomba mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha sherehe au mahafali yanayotarajiwa kufanyika ifikapo tarehe ________________ kuanzia saa nne asubuhi hadi sa kumi na mbili jioni Jina_________________________________ Kiasi cha mchango___________________________ Mwisho wa kutoa mchango wa ufadhili ni siku ya_______tarehe ____________ Toa mchango wako kwa aliekupa kadi hii MUNGU AKUABARIKI SANA KATIKA KAZI YAKO YA MIKONO Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0745119652 0676119652 Mwenekiti wa mahafali
© Copyright 2013 - 2024 MYDOKUMENT.COM - All rights reserved.